TYMMOH DAIMER AZIDI KUA GUMZO
TYMMOH DAIMER ni nani ???? Hayo ndio maswali kila panda shuka huku pwani ,Je ! ni msanii tu kama watu wanavyodhani ama ni nani ......Tunachojua mziki wake na ladha yake yakipekee kwa kubadilika kwa mitindo ndio kumempa upekeee katika sanaa kubwa alio nayo ijapokua uwekezaji wake ni mdogo kwani ni msanii anaejitegemea licha ya umri wake mdogo katika game.. anazidi kuwafukuza wasanii wakubwa wengi wakibana kwa hofu ya soko ila dogo yuko motoo na kwasasa anasifika kwa kibao chake kwa jina RAH