TYMMOH DAIMER ::ATOBOA SIRI NZITO ZA WAZAZI WA PWANI
Msanii kutokea kwale alijibu maneno haya baada yakuulizwa amejifunza nini mwaka jana
: wapo Watu wakaribu sana ambao wanakukosea wewe,lakini baada ya kukukosea wewe,
Wanajiweka kwenye nafasi ya wahanga,kana kwamba wewe ndio umewakosea ili kujitoa kwenye nafasi ya kukuomba msamaha,
Hawa ni watu ambao wanatumia NYOTA yako nguvu zako,muda wako,rasilimali zako na kukufungia riziki zako ili uwafate kwa usaidizi ionekane kuwa unawategemea na ukweli nikua hakuna fadhila wala usaidizi unaopata nia nikukutumia baraka zako na nyota yako ...
Lakini haitoshi kwa UPUMBAVU wako kisaikolojia umetekwa,hauishi kwenye ulimwengu wako,Bali wamekupangishia makazi kwenye mioyo yao...hauko huru
Yaani unakosewa wewe na bado wa kuomba msamaha niwewe, niwatu wanaotaka chako kwa nguvu ikibidi kukueka kwenye magereza yao kishirikina sana sana wazazi wengi wapwani
Comments
Post a Comment