wasanii wanaopambana kwale
Nimepitia sehemu nyingi na kila mtandao wa facebook na ticktock kijana huyu anaekuja kwa kasi .Tymmoh daimer msanii mdogo kiumri na ni mwenye ubunifu mkubwa kuliko wasanii wakongwe na wakongwe walio mzidi kiuchumi wanazidi kumbania mara kwa mara .Ameeleza kua hata nyimbo zake kupigishwa kiubaguzi stesheni za kwale . Tumekutana nae Jana na akatueleza mengi makubwa yatapasua speaker bila kukata tamaa na amesema anawasamee maadui zake wanaodhani amekwisha
Comments
Post a Comment