wasanii wanaopambana kwale

Nimepitia sehemu nyingi na kila mtandao wa facebook  na ticktock   kijana huyu  anaekuja kwa  kasi .Tymmoh daimer   msanii mdogo kiumri  na ni mwenye ubunifu mkubwa  kuliko wasanii wakongwe  na wakongwe  walio mzidi  kiuchumi wanazidi  kumbania mara kwa mara .Ameeleza kua hata nyimbo zake kupigishwa kiubaguzi  stesheni za kwale . Tumekutana nae Jana na akatueleza mengi makubwa yatapasua  speaker  bila kukata tamaa na amesema anawasamee maadui zake   wanaodhani  amekwisha 

Comments