TYMMOH DAIMER AZIDI KUA GUMZO

TYMMOH DAIMER  ni  nani  ???? Hayo  ndio  maswali  kila  panda shuka  huku pwani ,Je ! ni  msanii  tu  kama  watu  wanavyodhani  ama   ni nani  ......Tunachojua  mziki  wake  na ladha  yake yakipekee  kwa kubadilika  kwa mitindo  ndio  kumempa  upekeee  katika sanaa  kubwa  alio nayo   ijapokua  uwekezaji  wake  ni mdogo  kwani  ni msanii anaejitegemea   licha  ya umri  wake mdogo katika game.. anazidi  kuwafukuza wasanii  wakubwa       wengi  wakibana  kwa  hofu ya soko  ila  dogo  yuko  motoo  na kwasasa  anasifika  kwa kibao chake kwa jina  RAH

Comments

Popular posts from this blog

TYMMOH DAIMER na mziki tofauti kwale (002). Sio siri tena tukisema msanii mbunifu na anaekuja kwa kasi yakipekee katika ukanda wapwani , Si mwingine bali ni Tymmoh daimer. Kwasasa ameachia mziki tofauti na miziki ilio zoeleka uswahilini ,kitu ambacho kinasimamisha bongo za wanao msikiza .mziki wenye ubunifu na vibe la kimarekani . kwamaelezo yake anasema yeye anaangalia generation yake na anajua Genz wanaelewa anachokiimba na ni usasa zaidi , ameongeza kua amejaribu kuleta mziki wamajuu mashinani ili kutoa ulemavu wafikra funge, anasema watu waupate mziki mnene kwa mitandao ...youtube,audiomack na zingine pendwa. # Hebu tumcheki mwana

wasanii wanaopambana kwale