BEKA RUGA FROM KWALE COUNTY
Mchekeshaji na Ticktocker mkali tokea pwani (kwale county) kwa jina BEKA, anazidi kuvunja myamba ya mbavu za mashabiki zake na kueka alama kubwa kwenye tasnia ya ucheshi . Beka anatajwa kama kijana mwenye ushawishi kutokana na umati unao mtazama kwa vituko pia na mafunzo yakuonyesha kua yote yanawezekana
Comments
Post a Comment