REYVANNY AMPA KIBA MAUA YAKE
Msanii Ryvanny kutoke Next level music akiwa kama raisi wa lebo iyo , hivi maajuzi ametoa album yake na katika nyimbo zake moja amefanya na mwamba Alikiba . Sasa kubwa ni kamposti alikiba kisha akaeka alama ya king au taji, hii imeleta utamu kwenye game la bongo
Comments
Post a Comment